ifasta.blogspot.com
iFasta: Yanga kumenyana na Simba TAIFA baada ya kutinga fainali CECAFA Cup
http://ifasta.blogspot.com/2011/07/yanga-kumenyana-na-simba-taifa-baada-ya.html
Subscribe to receive latest Updates. Yanga kumenyana na Simba TAIFA baada ya kutinga fainali CECAFA Cup. Friday, 8 July 2011. IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:. Mashabiki wa timu ya Yanga wakiwa ni wenye furaha sana kwa timu yao kupata ushindi huo na kufanikiwa kutinga fainali ambapo timu yao itakutana na watani wao wa jadi Simba hapo jumapili ya julai 10. Nurdin Bakari akichuana na beki wa St. Georges. Baadhi ya Mashabiki wa timu ya Simba wakiwabeza Mashabiki wa timu ya Yanga kwa ujumbe huu. Ndani ya ...
ifasta.blogspot.com
iFasta: July 2011
http://ifasta.blogspot.com/2011_07_01_archive.html
Subscribe to receive latest Updates. NAPE ALIVYOWASHA MOTO MBEYA. Sunday, 17 July 2011. Wabunge wa CCM wa mkoa wa Mbeya na kwengineko wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauyem kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano mkubwa wa hadhara. Katibu wa Vijana na Jimbo la Mbozi wa Chadema Warren Kaminyonga akionyesha kadi yake ya CHADEMA kabla ya kumkabidhi NAPE. Nape akimkaribisha Mwenyekiti wa Mtandao wa Chadema wa wanataaluma Prince Mwaihoja. Posted by B.M.T. Ni Mhandisi Mku...
ifasta.blogspot.com
iFasta: SIMBA ILIVYOTINGA FAINALI KAGAME CUP
http://ifasta.blogspot.com/2011/07/simba-ilivyotinga-fainali-kagame-cup.html
Subscribe to receive latest Updates. SIMBA ILIVYOTINGA FAINALI KAGAME CUP. Friday, 8 July 2011. IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:. Beki wa Simba Amir Maftar(kulia), akiondosha mpira langoni mwake huku akizongwa na beki wa El Mereikh, Badrr Eldin Eldod. Wachezaji wa El Mereikh wakishangilia goli lao la kwanza sambamba na wapenzi wa Yanga walioko jukwaani. Ulimboka Mwakingwe, akiwachambua mabeki wa El Mereikh. Mashabiki wa Simba wakishangilia baada ya Ulimboka kusawazisha bao. Posted by B.M.T.
ifasta.blogspot.com
iFasta: November 2006
http://ifasta.blogspot.com/2006_11_01_archive.html
Subscribe to receive latest Updates. Cierre inscripción curso Como disenar y gestionar una Estrategia de Prensa x x b a j x. Thursday, 30 November 2006. Para dejar de recibir este newsletter, por favor haga clic. Cómo diseñar y gestionar una Estrategia de Prensa. Hasta el miércoles 12 de octubre está abierta la inscripción para la capacitación intensiva Cómo diseñar y gestionar una Estrategia de Prensa. Que dictará el Lic. De 9:30 a 17:30. Programa Diseño y Gestión de Estrategias de Prensa. Ateriales ne...
ifasta.blogspot.com
iFasta: NAPE ALIVYOWASHA MOTO MBEYA
http://ifasta.blogspot.com/2011/07/nape-alivyowasha-moto-mbeya.html
Subscribe to receive latest Updates. NAPE ALIVYOWASHA MOTO MBEYA. Sunday, 17 July 2011. IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:. Wabunge wa CCM wa mkoa wa Mbeya na kwengineko wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauyem kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano mkubwa wa hadhara. Katibu wa Vijana na Jimbo la Mbozi wa Chadema Warren Kaminyonga akionyesha kadi yake ya CHADEMA kabla ya kumkabidhi NAPE. Nape akihutubia maelfu ya watu katika uwanja wa Rwandanzovye mjini Mbeya. Meet ...
ifasta.blogspot.com
iFasta: AZAA MAPACHA WATANO UINGEREZA, AAMBIWA ARUDI KWAO NIGERIA
http://ifasta.blogspot.com/2011/07/azaa-mapacha-watano-uingereza-aambiwa.html
Subscribe to receive latest Updates. AZAA MAPACHA WATANO UINGEREZA, AAMBIWA ARUDI KWAO NIGERIA. Sunday, 10 July 2011. IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:. PICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS. Bimbo akiwa na mapacha wake sita nchini Uingereza. MWANAMKE mmoja raia wa Nigeria, alipotambua ana ujauzito, aliamua kwenda Uingereza akitegemea watoto wange wangepata uraia wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa utaratibu huo, mamlala zilisema ili kupata sifa hiyo, mmoja wa wazazi wa watoto hao angekuwa raia wa Uingereza.
ifasta.blogspot.com
iFasta: Meet Nuclear powered sub-marines
http://ifasta.blogspot.com/2011/06/meet-nuclear-powered-sub-marines.html
Subscribe to receive latest Updates. Meet Nuclear powered sub-marines. Tuesday, 21 June 2011. IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:. Posted by B.M.T. Subscribe to: Post Comments (Atom). Askofu amshauri Mswati III kuachia madaraka. CCM yazitakia heri Vijana U-23 na Simba SC katika michezo yao kesho. Meet Nuclear powered sub-marines. AZAA MAPACHA WATANO UINGEREZA, AAMBIWA ARUDI KWAO NIGERIA. CUF yamataka Nahodha ajizuru. PUBLISH YOUR VIDEO HERE FOR FREE.
ifasta.blogspot.com
iFasta: November 2011
http://ifasta.blogspot.com/2011_11_01_archive.html
Subscribe to receive latest Updates. Askofu amshauri Mswati III kuachia madaraka. Tuesday, 15 November 2011. Warembo bikra wakiwa wamejipanga ili Mfalme ajichagulie mchumba. Mwendelezo wa warembo wakiwa tayari kusubiri kuchaguliwa. IONGOZI mwandamizi wa Kianglikana wa Swaziland, Askofu Meshack Mabuza, amemtaka Mfalme Mswati III kuachia madaraka ya kisiasa ili kutoa nafasi Serikali ya kidemokrasia nchini humo. Mfalme Mswati III akikagua gwaride. 8216;Visababu’Askofu Mabuza, askofu wa Kianglikana wa ...
ifasta.blogspot.com
iFasta: June 2011
http://ifasta.blogspot.com/2011_06_01_archive.html
Subscribe to receive latest Updates. Yanga na el mereikh zatoka sare 2-2 kombe la kagame castle cup. Sunday, 26 June 2011. MASHABIKI WA YANGA WAKISHANGILIA MOJA KATI YA MAGOLI YALIYOFUNGWA NA TIMU YAO. Mshambuliaji wa Yanga Davies Mwape akiruka daruga la beki wa El-Mereikh ya Sudan, Nasr Eldin wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame Castle uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. PICHA YA PAMOJA YA MANAHODHA WA TIMU ZOTE NA WAAMUZI. KIKOSI CHA EL-MEREIKH YA SUDAN.
ifasta.blogspot.com
iFasta: CUF yamataka Nahodha ajizuru
http://ifasta.blogspot.com/2011/05/cuf-yamataka-nahodha-ajizuru.html
Subscribe to receive latest Updates. CUF yamataka Nahodha ajizuru. Monday, 30 May 2011. IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:. Ni kutokana na mauaji ya wananchi watano Tarime. Yalaani, yasema huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu. BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) limemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani kuwajibika kutokana na mauaji yaliyotokea wilayani Tarime. Lakini pia kufanyika kwa uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo. Dhahabu inayouzwa nje ni dola bilioni 1.5 kwa mwaka sawa na asilimia 40 ya bidhaa ...