prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: March 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_03_01_archive.html
Monday, March 30, 2015. Wizara ya Ujenzi ilikotoka, iliko na inakokwenda. JK awasili USA kwa mwaliliko wa Umoja wa Mataifa, afungua jengo la Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania wa Umoja wa Mataifa. Ni jengo la ghorofa sita. Ni mabalozi waliowahii kuuongoza uwakilishi huu. Akikata utepe wa Jengo. Makandarasi waliojenga hicho kikkwangua anga. Mwakilishi wa kudumu Balozi Tuvano Manongi akishuhududia Mhe. Rais akisaini kitabu cha wageni. Akisalimiana na watanzania waishio USA. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: August 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_08_01_archive.html
Thursday, August 27, 2015. Kampeni za CCM zaanza rasmi. Sunday, August 9, 2015. Rais Kikwete awaaga Wasanii nchini. Ilikuwa tarehe 6/8/2015. Subscribe to: Posts (Atom). Minjaprosper@gmail.com 255713123254 255765798884. View my complete profile. Kwa mahitaji ya Sembe, Dona, Kande na Pumba piga 0713 123 254.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: November 2014
http://prince-minja.blogspot.com/2014_11_01_archive.html
Monday, November 24, 2014. Hivi ndivyo kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilivyokabidhiwa taarifa ya CAG na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai kuhusu sakata la Escrow na IPTL November 17, 2014. Taarifa fupi ya makabidhiano. Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Zuberi kabwe akiipokea ripoti. Mwenyekiti na Makamu Mhe. Deo Filikunjombe wake wakipakea taarifa nzima. Mwenyekiti wa Kamati akielezea mkakati wa kuchambua taarifa. Katibu wa Bunge akitangaza kikosikazi cha kamati hiyo ya PAC. Friday, November 14, 2014.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: July 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_07_01_archive.html
Thursday, July 30, 2015. Rais Kikwete atunukiwa Shahada ya Juu ya udaktari wa Sheria na Chuo Kikuu cha Nwecastle, Australia 29/Jul/2015. Wednesday, July 29, 2015. Leticia Nyerere ahama CHADEMA ahamia CCM. Mary Mwanjelwa apeta viti maalum Mbeya. Chiku Abwao ahama Chadema ahamia ACT. Tuesday, July 28, 2015. Lowassa ahamia CHADEMA 28 July 2015. Monday, July 13, 2015. Shughuli ya Dodoma 2015. Subscribe to: Posts (Atom). Minjaprosper@gmail.com 255713123254 255765798884. View my complete profile.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: June 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_06_01_archive.html
Sunday, June 28, 2015. Rais Kikwete mgeni rasmi Siku ya Magereza 27/6/2015. Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana ma Kamishna Mkuu wa magereza Nchini, Mhe. J.C. Minja siku ya kilele cha Siku ya Magereza. Picha nyingine ni mtirirko wa matukio ya siku hiyo ambapo Askari Magereza 104 walituniukiwa cheo cha Mrakibu wa Askari Magereza. Taifa lamuga Donald Max. 8220;Mwanadamu umetokana na. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thoma...
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: December 2014
http://prince-minja.blogspot.com/2014_12_01_archive.html
Monday, December 29, 2014. Ujenzi wa New Kawe City - Dar ndyo habari ya mjini kwa sasa.Kigambonino mmmmhhhhh. Tuesday, December 23, 2014. Safari ya Precious Afrika Kusini 14-21 Dec 2014. Subscribe to: Posts (Atom). Minjaprosper@gmail.com 255713123254 255765798884. View my complete profile. Kwa mahitaji ya Sembe, Dona, Kande na Pumba piga 0713 123 254.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: May 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
Wednesday, May 20, 2015. Rais Filipe Jacinto Nyusi alihutubia Bunge. Viongozi wakimsubiri Rais wa Msumbiji 19 Mei 2015. Spika wa Bunge akimpokea mgeni wake, Rais wa Jamhuru ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mjini Dodoma. Rais Nyus akipokea salamu rasmi. Rais Nyusi akikagua gwaride. Rais Nyusi akisaini kitabu cha wageni mashuhuri. Wanaoshudia ni Spika wa Bunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kiwete. Rais wa Msimbiji akilihutubia Bunge la Jamhuri. Tuesday, May 12, 2015.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: January 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_01_01_archive.html
Friday, January 30, 2015. Mhe Lukuvi na Mhe. Lowassa. Mhe Lowassa na Mhe. Vulu. Rais Kiwete nchini Ufaransa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Francois Holland mara baada ya Rais Kikwete kuwasili Paris kwa ziara ya kikazi. Rais Kikwete akikagua grwaride maalum. Rais Kikwete akifungua rasmi jengo la ubalozi wa Tanzania Jijini Paris. Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri ubalozini hapo. Wednesday, January 21, 2015. Wakuu wa Vyombo vya...
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: February 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_02_01_archive.html
Tuesday, February 24, 2015. Dar yazidi kuwa tamu: Chuo Kikuu Cha Agha Khan chaja Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jakaya Mrisho Kikwete (Kulia) akisalimiana na Mkuu wa Madhehebu ya Somaia duniani Prince Agha Khan. Kiongozi huyo alifika nchini Tanzania na kukabidhiwa hati ya Chuo Kikuu na Rais Kikwete. Chuo hicho kitajengwa Dar es Salaam. Monday, February 23, 2015. Dhoruba ya mvua Chalize yaacha kaya 47 bila makazi. Kudumisha Mila ile wengine kwishaacha. Wednesday, February 11, 2015.
prince-minja.blogspot.com
PRINCE MINJA BLOG: April 2015
http://prince-minja.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Tuesday, April 28, 2015. Taswira baada ya mvua kunyesha. Mkutano wa 10 wa Jukwaa la Maspika 23/24-Aprili, 2015 Dar es Salaam. Subscribe to: Posts (Atom). Minjaprosper@gmail.com 255713123254 255765798884. View my complete profile. Kwa mahitaji ya Sembe, Dona, Kande na Pumba piga 0713 123 254.
SOCIAL ENGAGEMENT