marafikiwachadema.blogspot.com
Marafiki wa chadema - Friends of Chadema: Chadema 'yaitikisa' nchi :NI KUTOKANA NA WABUNGE WAKE KUSUSIA HOTUBA YA JK
http://marafikiwachadema.blogspot.com/2010/11/chadema-yaitikisa-nchi-ni-kutokana-na.html
Marafiki wa chadema - Friends of Chadema. Saturday, November 20, 2010. Chadema 'yaitikisa' nchi :NI KUTOKANA NA WABUNGE WAKE KUSUSIA HOTUBA YA JK. HATUA ya wabunge wa Chadema kutoka nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma wakati Rais Jakaya Kikwete akianza kuhutubia, imetikisa nchi kutokana na wasomi, wanasiasa, viongozi wa dini na wananchi kuibuka na maoni tofauti. Wasomi, wanazuoni wanaounga mkono. Mhadhri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Abdallah Safari alisema kitendo hicho nio cha ni aibu kwa se...
greencityprofile.blogspot.com
THE GREEN CITY PROFILE: GET TO KNOW; JOSEPH MBILINYI a.k.a MR II/SUGU
http://greencityprofile.blogspot.com/2013/01/get-to-know-joseph-mbilinyi-aka-mr.html
Monday, January 14, 2013. GET TO KNOW; JOSEPH MBILINYI a.k.a MR II/SUGU. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II. Joseph Mbilinyi (born May 1, 1972), known for his stage names Mr. II and Sugu and 2-proud, is one of the founders of the hip hop music scene in Tanzania. He was also elected to the Tanzanian Parliament in 2010. 1 Style and Message. Mr II a.k.a Sugu. Everyday is us against the police and the police against us. The judge at the court is waiting for us. The prison officer is waiting for us". Sugu is also th...
greencityprofile.blogspot.com
THE GREEN CITY PROFILE: IFAHAMU TAREHE AMBAYO VIDEO YA MBEYA ALL STARZ ITAFANYIKA KAZI NA MPANGO MZIMA UTAKAVYO KUWA
http://greencityprofile.blogspot.com/2013/06/ifahamu-tarehe-ambayo-video-ya-mbeya.html
Monday, June 10, 2013. IFAHAMU TAREHE AMBAYO VIDEO YA MBEYA ALL STARZ ITAFANYIKA KAZI NA MPANGO MZIMA UTAKAVYO KUWA. Baada ya kusumbua na wimbo wa Mbeya Nyumbani. Na Salamu toka Mbeya huu ndio ujio mpya wa. Mbeya all starz, ambapo kwa sasa wataanza na Video. Halafu itafata audio,Mpango mzima wa audio unafanyiwa ktk. Studio mpya iitwayo G2G Records, chini ya Prodyuza Losso,. Akishirikiana na Prodyuza Ahazi, japo kwa asilimia 90, mzigo. Mzima unasimamiwa na Prodyuza Losso,. Producer Losso kabla ya recording.
zittokabwe.wordpress.com
Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni | Zitto na Demokrasia
https://zittokabwe.wordpress.com/2015/07/06/baadhi-ya-kazi-za-zitto-bungeni
Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni. Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni. Kwa uzito na mahala unapofanyika mkutano huu, naomba niwaletee kwa muhtasari kabisa baadhi ya kazi ambazo Ndugu Zitto Kabwe amezifanya katika kusukuma mbele guruduma la maendeleo katika nchi yetu. MABADILIKO SEKTA YA MADINI. KUZUIA UBINAFSISHAJI WA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC). SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA. UKAGUZI WA MAHESABU WA VYAMA VYA SIASA. KUFUFUA ZAO LA MKONGE. Hoja hiyo ilipingwa na Wabunge kutoka Tanga lakini iliungwa ...
greencityprofile.blogspot.com
THE GREEN CITY PROFILE: HUYU NDIE WALTER CHILAMBO a.k.a SPEECHWISE, MWANA RnB wa KWANZA WA KIUME KU SHINE BONGO TOKEA GREEN CITY (MBEYA CITY)
http://greencityprofile.blogspot.com/2013/02/huyu-ndie-walter-chilambo-aka.html
Tuesday, February 19, 2013. HUYU NDIE WALTER CHILAMBO a.k.a SPEECHWISE, MWANA RnB wa KWANZA WA KIUME KU SHINE BONGO TOKEA GREEN CITY (MBEYA CITY). Jina kamili:Walter Chilambo a.k.a Speechwise. Nyumbani; Mbeya City. Tarehe ya Kuzaliwa: 13/March. Kazi: RnB Musician (Bongo flavour) (Epiq Bongo Star search Zantel). Kipaji kingine: Music production/Producer. Elimu: O-Level / Sangu Secondary School/Mbeya Tanzania. Role Model; Keneth Brian a.k.a BabyFace. Prodyuza wanaomvutia duniani: Swizz Beatz na Peter Todd.
bongo120.blogspot.com
Bongo120: Izzo Bizness - Riz One (Official Video)
http://bongo120.blogspot.com/2011/08/izzo-bizness-riz-one-official-video.html
Sunday, August 21, 2011. Izzo Bizness - Riz One (Official Video). Subscribe to: Post Comments (Atom). I do not understand Swahili (click here). Bonya ili kuijua IDYDC. There was an error in this gadget. FeDë's ART CREATIONS / KATUNI ZETU. Joseph Mbilinyi (Mr II - SUGU). Pozi za d zonga na wana. Nimtangazaji wa Nuru fm wengi wananitambulisha kama Dr Lover kutokana na Vipindi ninavyoongoza "karibu". View my complete profile.
bongo120.blogspot.com
Bongo120: Kikongwe alala na Maiti
http://bongo120.blogspot.com/2011/08/kikongwe-alala-na-maiti.html
Thursday, August 25, 2011. Kikongwe alala na Maiti. KIKONGWE mwenye umri wa miaka 85 aliyefahamika kwa jina la Sadiki Salehe mkazi wa Ilolo kata ya Ruanda Jijini Mbeya amejikuta matatani kufuatia kulala na maiti ya mtoto wake pekee kwa siku sita. Mtoto wa kikongwe huyo alijulikana kwa jina la Salehe Sadiki(38) kwa mara ya mwisho alionekana Jumatano ya wiki liliopita(Agosti 17, 2011). Imamu Eliasa na Balozi Malole kwa pamoja walimtaarifu Mwenyekiti wa Mtaa wa Ilolo Benson Mbwana kuhusu tukio hilo la kusha...
bongo120.blogspot.com
Bongo120: Vituko vya Dar.
http://bongo120.blogspot.com/2011/08/vituko-vya-dar.html
Thursday, August 18, 2011. Choo cha kupanda hicho jamni nimekikuta maeneo ya mchikichini kama unapafahamu ni karibu na jangwani nilipokuwa kwenye matembezi nikakutana na hali hiii duh! Kweli duniani kuna mambo hapo kuna watu wapo mahali na kujisifia kuwa wapo Dar na hiki ndicho choo anachotumia. Subscribe to: Post Comments (Atom). I do not understand Swahili (click here). Bonya ili kuijua IDYDC. There was an error in this gadget. FeDë's ART CREATIONS / KATUNI ZETU. Joseph Mbilinyi (Mr II - SUGU).
zittokabwe.wordpress.com
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014 | Zitto na Demokrasia
https://zittokabwe.wordpress.com/2015/05/20/tamko-la-kiongozi-wa-chama-cha-act-wazalendo-ndg-zitto-kabwe-kuhusu-ripoti-ya-cag-mwaka-20132014
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014. Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014. Natoa wito kwa CAG kwanza kuweka wazi orodha ya bidhaa hizo zilizobakia nchini na kuingizwa nchini bila kulipa kodi. Vile vile CAG aweke wazi wafanyabiashara wote walioagiza bidhaa hizi na vyombo vya kiuchunguzi vichukue hatua za kuwashtaki wafanya biashara hawa mara moja. Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo.
SOCIAL ENGAGEMENT